Recent News and Updates

TAARIFA KWA DIASPORA WENYE ASILI YA TANZANIA

Tarehe 22 Mei, 2023 Mhe Dkt. Stergomena L. Tax (Mb). Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki alizindua Mfumo wa kuwasajili kidigitali Diaspora wote wenye asili ya Tanzania pamoja na Wanafunzi wa Kitanzania… Read More

RAIS WA RWANDA MHE. PAUL KAGAME AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA

Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 27 April, 2023 Read More

VOTE FOR MOUNT KILIMANJARO

We have been nominated Mount Kilimanjaro Africa's Leading Tourism Attraction 2023Please vote now through https://www.worldtravelawards.com Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in Rwanda

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in Rwanda