NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

The Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1 June 2019 all plastic bags, regardless of their thickness will be prohibited from being imported, exported,…

Read More

Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika

Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati akiwa pamoja na Maafisa kutoka Wizara ya Maji wakati wa Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika uliofanyika tarehe 13 Februari, 2019 katika Hoteli ya Park Inn Jijini Kigali.

Read More

Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika

Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati akiwa pamoja na Maafisa kutoka Wizara ya Maji wakati wa Mkutano wa Kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika uliofanyika tarehe 13 Mwezi Februari, 2019 katika hoteli ya Park Inn Jijini…

Read More

Kamishina Jenerali wa Uhamiaji autembelea Ubalozi

Mhe. Balozi Ernest Mangu wa pili kulia akiwa na Kamishishina Jenerali wa Uhamiaji wa kwanza kulia Dkt. Anna Makakala pamoja na Maafisa Ubalozi alipoutembelea Ubalozi kumsalimu wakati akiwa Kigali kikazi mwezi Februari,…

Read More

Maafisa wa Polisi wautembelea Ubalozi

Mhe. Balozi Ernest Mangu na Afisa wa Ubalozi Bw. Teritoi Bunto wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Polisi toka Tanzania ambao walikuwa nchini Rwanda kikazi.  Maafisa hao wa Polisi ni DCP. Shaban Hiki…

Read More

Wajumbe wa TATOA wautembelea Ubalozi

Picha ya pamoja ya Balozi Ernest Mangu, Wafanyabiashara wa Utalii na Viongozi wa TATAO (Tanzania Association of Tour Operators) waliofika Kigali, Rwanda kwa ziara ya mafunzo na kutangaza vivutio vya utalii nchini.

Read More

Wajumbe wa Bodi ya Mishahara walipoutembelea Ubalozi

Mhe. Balozi Ernest Mangu katikali (waliokaa) pamoja na baadhi ya Maafisa wa Ubalozi na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara walipoutembelea Ubalozi Mwezi Februari, 2019.  Ujumbe huo ulikuwa nchini Rwanda kwa ziara ya…

Read More

Wakulima wa Pilipili wautembelea Ubalozi

Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati pamoja na Afisa wa Ubalozi Bw. Teritoi Bunto wakiwa katika picha ya pamoja na Wakulima wa pilipili kutoka Mkoa wa Mwanza walipoutembelea Ubalozi mwezi Februari, 2019.  Wakulima…

Read More