News and Events Change View → Listing

Waziri Mkuu Akutana na Mabalozi Wa Tanzania Nchini Rwanda na Urusi

Wwaziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali…

Read More

Mabalozi wa Tanzania Nchini Rwanda na Urusi Wamuaga Makamu wa Rais Tayari Kwa Kuelekea Vituo Vyao

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda  Mhe.Ernest Mangu na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  wa  Urusi leo wamekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.…

Read More

Mhe. Ernest Mangu aapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Machi, 2018 amewaapisha Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe…

Read More

Rais Magufuli Amteua Ernest Mangu Kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda

Rais Magufuli amewateua aliyekuwa IGP, Ernest Mangu kuwa Balozi nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mumwi kuwa Balozi nchini Urusi. Wateule wote wataapishwa Machi 21 Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanzia…

Read More

TPA Yafungua Ofisi Kigali, Rwanda

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefungua ofisi katika Jiji la Kigali nchini Rwanda itakayotoa huduma zote za Bandari. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa ndiye…

Read More

Mawaziri wa Fedha Na Mipango Wa Tanzania Na Rwanda Wakutana Kujadili Mradi Wa Ujenzi Wa Reli

Mawaziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kupata fedha za Ujenzi wa Reli yenye Kiwango cha Kimataifa (SGR) kutoka Isaka Shinyanga hadi Kigali Rwanda ikiwa…

Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo rasmi na Rais Paul Kagame wa Rwanda na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018

Rais Dkt Magufuli Aagana na Mgeni Wake Rais Kagame wa Rwanda Baada ya Ziara ya Kikazi ya Siku Moja

Rais Dkt Magufuli Aagana na Mgeni Wake Rais Kagame wa Rwanda Baada ya Ziara ya Kikazi ya Siku Moja

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo

Hatimaye historia mpya imeandikwa nchini Rwanda, baada ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), kuzindua mauzo ya gazeti la HabariLeo Toleo la Afrika Mashariki, uzinduzi uliokwenda sambamba na kongamano la kukuza…

Read More