Mhe. Balozi Ernest Mangu wa pili kulia akiwa na Kamishishina Jenerali wa Uhamiaji wa kwanza kulia Dkt. Anna Makakala pamoja na Maafisa Ubalozi alipoutembelea Ubalozi kumsalimu wakati akiwa Kigali kikazi mwezi Februari, 2019.