Mhe. Balozi Ernest Mangu na Afisa wa Ubalozi Bw. Teritoi Bunto wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Polisi toka Tanzania ambao walikuwa nchini Rwanda kikazi.  Maafisa hao wa Polisi ni DCP. Shaban Hiki na ACP. Chilya Marco wote toka Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.