Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati akiwa pamoja na Maafisa kutoka Wizara ya Maji wakati wa Mkutano wa Kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika uliofanyika tarehe 13 Mwezi Februari, 2019 katika hoteli ya Park Inn Jijini Kigali.  Mhe. Balozi alimwakiliisha Waziri wa Maji Prof. Mbarawa ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Mkutano huo ila hakufika kwa sababu ya kubanwa na majukumu mengine.