Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati akiwa pamoja na Maafisa kutoka Wizara ya Maji wakati wa Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika uliofanyika tarehe 13 Februari, 2019 katika Hoteli ya Park Inn Jijini Kigali.