Picha ya pamoja ya Balozi Ernest Mangu, Wafanyabiashara wa Utalii na Viongozi wa TATAO (Tanzania Association of Tour Operators) waliofika Kigali, Rwanda kwa ziara ya mafunzo na kutangaza vivutio vya utalii nchini.