Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati pamoja na Afisa wa Ubalozi Bw. Teritoi Bunto wakiwa katika picha ya pamoja na Wakulima wa pilipili kutoka Mkoa wa Mwanza walipoutembelea Ubalozi mwezi Februari, 2019.  Wakulima hao walikuwa nchini Rwanda katika ziara ya kimafunzo ya zao la pilipili na kutafuta masoko.